Mambo yanatukosesha mvua

Mambo yanatukosesha mvua

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,647
Reaction score
4,753
Kama ilivyo kwenye dini ya kiislaam tunaamini watu tunakutana na maisha magumu, matatizo mengi ikiwemo kukosa mvua, Kupata viongozi Madhaalim(Mfano: Misri kule kulikuwa na firauni mmoja hivi anayependa kusifiwa, kutukuzwa kama Mungu) n.k.

Kwa mujibu wa Quran na hadith hayo yote yanasababishwa na madhambi yaliyokithiri tunayoyachuma kila siku hivyo allah anatuadhibu.

Hivyo, uislaam unawahitaji watu wenye nafasi na mamlaka, kila mmoja kwa uwezo wake ayakataze maasi kwa nguvu zote na kuyapiga vita ndio tumuelekee Allah tumuombe huruma zake atulegezee maisha yawe mepesi na atuletee mvua.

Mimi naanza na kumshirikisha Allah na viumbe vingine visivyo na maana yoyoye kwetu tunawaabudu na kusujudia viumbe kama sisi(mfano: hiyo picha hapo). Allah hapendi hivyo tumwabudu, kumsifu na kumtukuza yeye tu.

Hizi hizi sifa sifa na pongezi tunazowapa viumbe vingine visivyo stahili ndivyo vinavyotukosesha mvua...

---------------------------------------------------

Hivyo basi hebu taja jambo mojawapo ambayo yanatupelekea kumuudhi muumba wetu na ueleze namna tutakayoweza kutokomeza maasi hayo ili tupate huruma za Allah atupe mvua otherwise tutapambana na jua na joto kali, na hata akileta mvua itakuwa yenye madhara tu.

Allah tuhurumie viumbe vyako.
 

Attachments

  • tapatalk_1553639875355.jpeg
    tapatalk_1553639875355.jpeg
    30.2 KB · Views: 28
Pia Kuna dhulma za chinichini zinafanywa kwa baraka ya sheria za hovyo zilizopitishwa zinazoleta manung'uniko ya chinichini na kukatisha tamaa.{walaa tadhidi dhwaalimina illa............}.turekebishe Kisha tuombe maghfira Kwanza.
 
Rais wetu mpendwa ameweza vingi hili la mvuwa haliwezi kumshinda tumuombe yeye mvuwa, hata Mwigulu Nchemba alinusurika kifo kwenye ajari kwa uwezo wa Rais.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia Kuna dhulma za chinichini zinafanywa kwa baraka ya sheria za hovyo zilizopitishwa zinazoleta manung'uniko ya chinichini na kukatisha tamaa.{walaa tadhidi dhwaalimina illa............}.turekebishe Kisha tuombe maghfira Kwanza.
Ni kweli aisee...dhulma nyingi...

Ndio maana kwenye kundi la Wadhulmishi atatoka rais mdhulmishi kama wao...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumuomba Mungu jambo lolote lazma kuambatane na toba.ili kama kuna makosa Mungu atusamehe halafu yafuate Maombi.katika nchi ya watu wasionahofu ya Mungu hukaa mbali.ubakaji watoto hadi miaka 4 mauaji, haki iko wapi hakuna anaye jali wajane.Mungu ni Mungu si kama binadamu ambaye kwa kweli ni mnyama. Eee Mola tupunguzie adhabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom