mambo yamkuu wa mkoa

Kwa Ari, Nguvu na kasi hii nadhani sasa tujaribu mashindano ya kuyasakata huenda tukapata medali na makombe ya ubingwa kwenye mashindano ya kimataifa. God Forbid
 
Ha ha ha ha ha........!!!!!? Iyena iyena hiyo
 
Hii ndo jaiving yake ya mwisho anacheza.
tunafuta hivyi vyeo vya slaves driver.
 
Huyu mama anafanana na waziri wa mambo ya ndani Nchimbi!!!

Kwani Nchimbi naye anajua kucheza hivyo kama huyo mama-Mkuu wa Mkoa?

-Mama akiwa amegeuza kofia mbele-nyuma na kusebeneka.Wakubwa wanavituko sana....amejimwaga hapo hadi kusahau taabu za wananchi na wapambe wake wote wamevaa "ma-buti"!Nchi ina rahaaa sana hii kwa wakubwa....
 
Huyu mama naye ni Nchimbi, Dr. Rehema Nchimbi mkuu wa mkoa wa Dodoma lakini mlokole haswa
 
Anajitoa stress za Utawala maana si mchezo! Akigeuka hivi ombaomba, kule mji mchafu, huku machangudoa hasa nyakati za Bunge, kwingine ndoa za umri mdogo, watoto kutokwenda shule, na wanaoenda wanakaa chini hamna madawati! Lazima atafute pa kuzipunguzia.... Naona hapo ndio sehemu sahihi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…