"Mambo yameharibika sana"2025

Akalee wajukuu tu maana atakuwa amechoka hataweza mikikimikiki ya mbeleni katika Uongozi. Miaka ijayo Wazee wengi wa sasa hawakuwepo, vijana ndio watakuwa wengi hawatavumilia mawazo ya kizamani katika Uongozi. Hivyo kuendelea na huu usanii wa kisiasa wa sasa itakuwa ngumu sana Mtu wa aina hiyo kuwaongoza vijana mbeleni. CCM hawawezi kufanya kosa hilo, watamshauri tu Mama Samia apumzike.
 

Ngumu kukuelewa kwenye hili
 
Kama kama, wachawi na wanga wameamka na mama Samia, The Mother of Modern Tanzania. Giza halijawahi kuishinda nuru.......yupo saaaana!!
 
Hoja ni nini? Dk. Samia au age? Kama ni age Mhe. Dk. Samia bado yupo yupo sana. Let's be scientific; nimeuliza Merkel aligonga na ngapi? Paul Biya ana miaka mingapi? Au shida ni gender? Trump ana mingapi mbona huko kwa mabwanyenye wanamuelewa hadi Gen Z? CCM ina utaratibu wake. Ni Dk Samia tena.πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…