Kirikou Wa Kwanza
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 3,564
- 1,991
MWANDISHI: Unaitwa nani? MMAKONDE: Jina langu ukiliandika litaloanisha kitabu. MWANDISHI: We sema tu unaitwa nani? MMAKONDE: Jina langu ukiliandika litaloanisha kitabu labda uandike ndani ya ndoo. MWANDISHI: Jamani jina gani hilo lisiloweza kuandikika kwenye daftari na kuandikwa kwenye ndoo? MMAKONDE: Jina langu naitwa maji.
Tehe tehe tehe tehe mwandishi na watu waliokuwa pembeni yake wakaangua kicheko!
Tehe tehe tehe tehe mwandishi na watu waliokuwa pembeni yake wakaangua kicheko!