Upo sawa kabisa hadi sasa wao ndio wapinzani wakweli,hawana matusi wala ujuba kama kile Chadema ambao haijulikani kama wana wazimu au wavuta bangi, inahitaji wakamatwe wapimwe wakati wakiwa kwenye mikutano yao maana macho huwaga yamewaiva,kama mabundi.
Ila ACT wazalendo mbona wapo na ustaarabu kabisa,hawana majungu wao hupambana kwa hoja tu ,na wanajua kuzipangua.
CCM wanakiogopa sana hiki Chama cha Wazalendo ,maana huusema ukweli unaostahili kusikika na wananchi na sio uzushi,
hiivi ule uzushi wa bandari umeishia wapi mapadre mashee walokole fujo nchi nzima ,wengine ndo wamekimbia nchi na kukamatiwa au kuonekana kwenye spitali za wagonjwa wa mwezi mchanga.
WaTanzania wenye akili zao kamili sasa wanajua pumba zipo wapi ,Chadema imepoteza mwelekeo ni bora wakafungua kanisa na mwenyekiti wao ndio nabii wao Nabii Mbowe na mtakatifu Lisu mashee mtawapa upasto aka maswaaba.