Jaman hizo ni imani,kwangu mm nisingejisikia vzr sababu tu kaja kikaoni,kama ni swala la mchango mbona fresh tu tunachangiana,mm x wangu aliwahi kuoa,alioa mwaka 2003 na nnakumbuka aliniletea kadi ya mchango ofisini,na alikuwa anafatilia na simu ananipigia,mm nimeolewa mwk 2008 na wala sikusumbuana nae kuhusu kadi, so sioni ubaya kuchangiana labda kwenu nyny wanaume