Kuna mahala nilienda pale hospital ya mkoa mwanza..yaani wafadhili wa vyoo vya pale ni 'desk and chair foundation ' ya waarabu...yaani nyie waarabu sijui waliwafanya nini..hivi Kuna nchi ya afrika ya kufananisha na Dubai tu ya waarabu?Waarabu wao ni kuiba rasirimali za Tanganyika hamna Cha msaada
Wale jama hata kisima cha maji hawajengiWaarabu wao ni kuiba rasirimali za Tanganyika hamna Cha msaada
Mbona huku mwanza wamejenga visima vingi sana kama sadaka?Wale jama hata kisima cha maji hawajengi
Mbona huku mwanza wamejenga visima vingi sana kama sadaka?
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni..
Sio kutawadha tu hata kwa jamii mfano Kuna Kijiji kinaitwa igekemaja Kiko magu wamechimbiwa kisima kabisaKwa ajili ya kutawadha
Wamelenga dini yao kwa ajili ya mtawazoMbona huku mwanza wamejenga visima vingi sana kama sadaka?
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni..
Sio dini Yao tu hata Kwa jamii mfano Kijiji cha igekemaja Kiko maguWamelenga dini yao kwa ajili ya mtawazo
Ni hizo vifedha kidogo wanavyotupa?Hata sehemu ya kuhifadhi mavi ya watoto wetu tunapewa msaada wa ujenzi wa choo na watu wa Canada. Watu wa Canada, wanavuja jasho, fedha zao zinakusanywa kuletwa kwetu ili tujengewe vyoo vya kulenga. Hamtaki waseme? Wakijenga vyoo ni marafiki. Wakisema acheni uduanzi ni mabeberu.View attachment 3511649
Nmgejua kuwa msaada wa kifedha kutoka nchi zilizoendelea ni mkakati wa kudhibiti deninla taifa msingekuwa mnashoboka na hiyo misaada.Hata sehemu ya kuhifadhi mavi ya watoto wetu tunapewa msaada wa ujenzi wa choo na watu wa Canada. Watu wa Canada, wanavuja jasho, fedha zao zinakusanywa kuletwa kwetu ili tujengewe vyoo vya kulenga. Hamtaki waseme? Wakijenga vyoo ni marafiki. Wakisema acheni uduanzi ni mabeberu.View attachment 3511649
Sasa kwa akili yako Mwanza ilipaswa kuchimbiwa visima? Mkoa ambao upo na ziwa kubwa kabisa la Victoria walipaswa kulalamika kuhusu maji? Seriously? Haya yote wakulaumiwa ni CCMMbona huku mwanza wamejenga visima vingi sana kama sadaka?
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni..