Siku kama ya leo (14/02kila mwaka) imezoeleka watu kupeana zawadi na kuspendi time pamoja especially kwa wapenzi (japo siku hii tafsri yake ya halali sio siku ya wapenzi kwa maana ya wenye uhusiano wa kimapenzi, bali ni kwa wapendanao wote, yaweza kuwa familia,ndugu, jamaa na marafiki).Sio vema kutafutiana sababu, kama huna kitu Valentine hii mwambie mwenzako kwa uwazi tu, atakuelewa!