Ni michezo baada ya shibe, kawaida wa dada hupenda kukamata "vitendea kazi" vya wanaume kwenye matimbwili. Na ukiangalia mikono ya mdada imeshika kiuno cha jamaa .........., badala ya ku-mtait hapo "ikulu"
Hamna ugomvi hapo! tuulize sisi wauswazi; hizo kandambili, bukta, kanga, ngumi imeanzia mbaaaali, akinakuruthum hawapo mzee anachabo tu.... mmh, hamna kitu hapo.
Kandambili, kanga, bukta visingekuwa katika hali hiyo. ngumi ya ugonvi haianzii huko. akina kuruthumu na kidawa siwaoni, huyo mzee angekuwa tayari anaamua ugomvi huku akimpapasa mama wa watu ....... inatosha :car: