mambo ya train hayoo

mambo ya train hayoo

Sasa lile fupa lilomshinda fisi la reli ya kati liliwashinda vipi?
 
Hao wanaobembea wanafikaje huko kama si kukanyaga viti vya walikaa chini yao???wahindi banaa!!uchafu tu.
 
akiachia mashuzi hapo..................bora kubembea kuliko tufanyavyo sisi
 
sijui vipi tu yaani hawa na kuzaliana hawajambo..

Sidhani hiyo...ni kikazi chao kingi lakini wahindi huwa ni 2 maximum 3. ni sawa na kusema wachina kuzaliana maana wao ni mtoto mmoja. Hawazaaani kama sisi.
 
Back
Top Bottom