Mambo ya TBC 1


Kama tuliweza kumpasua kichwa mgonjwa wa mguu, na mgonjwa wa kichwa tukamchana mguu tutashindwa hayo maandishi tuu..??? Chezeya TBC weye....

Yaani inanikumbusha utotoni jinsi ambavyo watoto ambao kwao hakuna baiskeli walivyokuwa wanatamani baba wa mtoto wa jirani aliyemnunulia baiskeli mwanae awe baba yake
 
Mbona jana walisema mtoto wa obama anaitwa natasha
TBC one ukweli na uhakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…