Mambo ya tanga hayoo

Kijana Jr

JF-Expert Member
May 12, 2016
560
843
Nikawaida mtoto mdogo kuveshwa shang a......
Majina yao wengi huanzia na she..
.shekidege
.shembui
.shekwavi
.shebalua
.shekalange
.shemdoe
.shekinyashi
.shengoda
Shemnanga
.shemweta
Shekilango
.shekolowa
Shehondo
.shemwambashi
..dah awa jamaa niwakalimu sana aise
Ongeza na wewe baadhi ya majina##usambala mountain
.
.
 
Tunachoshana, mb zenyewe zinalika fasts.....nilijua kuna sukari imepatikana
 
Nikawaida mtoto mdogo kuveshwa shang a......
Majina yao wengi huanzia na she..
.shekidege
.shembui
.shekwavi
.shebalua
.shekalange
.shemdoe
.shekinyashi
.shengoda
Shemnanga
.shemweta
Shekilango
.shekolowa
Shehondo
.shemwambashi
..dah awa jamaa niwakalimu sana aise
Ongeza na wewe baadhi ya majina##usambala mountain
.
.
Shebisholo
 
Tanga kuna makabila mengi! hao uliwapa Sifa si wenyewe,nenda udigoni....kule kuna karibu tu hakuna kwaheri.
 
Shelutete
Shemagongo
Shemejio
Shetani
Shelukindo
Shekiondo
 
Tanga kuna makabila mengi! hao uliwapa Sifa si wenyewe,nenda udigoni....kule kuna karibu tu hakuna kwaheri.

Udigoni utakutana na majina yanaanza na Mwa...mwa za kumwaga japo zinatofauti na Mwa za Unyakyusani mfano;

Mwafisi
Mwafujo
Mwajeki
Mwameja
Mwauchi
Mwavyombo
Mwakatika
Mwafujo
 
Back
Top Bottom