mambo ya songea hayo

mdoe the thinker

Senior Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
104
Reaction score
20
Jamaa kamuaga mkewe anaenda semina Songea kwa wiki nzima kumbe kahamia kwa demu nyumba ya pili toka kwake. Siku ya 1 kalala asubuhi alipoamka kachungulia kwake kukoje, si kamuona jamaa yuko nje ya nyumba yake kavaa taulo lake anapiga mswaki. Akapiga kelele, 'We nani?', Jamaa akajibu, 'Mshikaji mambo ya mjini, mume wa huyu demu kasafiri kaenda Songea mi ndo najivinjari hapa'. Mume kajibu kwa uchungu, Shenzi mkubwa, ngoja nirudi toka Songea nakuua.
 
Kama mbwai mbwai tuuu umeoona ee asiumie ndo mjini watu wanaishi ivyo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nyumbi hii bombi hii!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…