Mambo ya phonebook hayo

Mambo ya phonebook hayo

illuh

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2014
Posts
1,254
Reaction score
700
PHONEBOOK YA MCHAGGA
1. Lymo wa vifaranga
2. Masawe Muuza pumba
3. Shirima doctor Mifugo
4. Tairo duka la jumla
5. Kimaria wa bia za magendo
6. Mushi mchoma nyama
7. Uiso wa pikapu ya ndizi
8. Ngowi wa chakula cha nguruwe
9. Mramba Kitimoto
10. Yasin Dereva wa semitrela
11. Mamoang’a wa shambani Bunju

SASA TUNAINGIA KWA WAZARAMO
1. Mwajuma msasambuaji
2. Maimuna Msutaji
3. Joni muuza shanga
4. Mariam wa Kitchen party
5. Moze mchora hina
6. Kefa DJ vigodoro
7. Issa Ndambi Muuza viungo vya Pilau
8. Rama Mganga wa Mapenzi
9. Faki mpiga ngoma Mbagala
10. Kiponzile mtabiri nyota Msanga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom