N Ninadj Member Joined May 13, 2013 Posts 8 Reaction score 9 Jun 25, 2013 #1 Mme alikuwa amekaa na mkewe kitandani baada ya kazi ngumu kumalizika,Mkewe akamwambia ahsante mme wangu kwa penzi tamu,mume akajibu "SI WEWE MKE WANGU UNAYENISIFIA ,WATU WENGI TU WANANISIFIA"Je ingekuwa wewe ungechukua hatua gani?
Mme alikuwa amekaa na mkewe kitandani baada ya kazi ngumu kumalizika,Mkewe akamwambia ahsante mme wangu kwa penzi tamu,mume akajibu "SI WEWE MKE WANGU UNAYENISIFIA ,WATU WENGI TU WANANISIFIA"Je ingekuwa wewe ungechukua hatua gani?
ndendi JF-Expert Member Joined Nov 29, 2012 Posts 625 Reaction score 184 Jun 25, 2013 #2 ungeweka nb;kwa wanawake tu?kumuuliza mwanaume swalin kama hilo ni kosa la jinai.
S sabry101 Member Joined Jun 17, 2013 Posts 18 Reaction score 1 Jun 25, 2013 #3 sasa unawauliza wanawke au wanaume?