Mambo ya Ndani

Mambo ya Ndani

Ninadj

Member
Joined
May 13, 2013
Posts
8
Reaction score
9
Mme alikuwa amekaa na mkewe kitandani baada ya kazi ngumu kumalizika,Mkewe akamwambia ahsante mme wangu
kwa penzi tamu,mume akajibu "SI WEWE MKE WANGU UNAYENISIFIA ,WATU WENGI TU WANANISIFIA"Je ingekuwa wewe ungechukua hatua gani?
 
ungeweka nb;kwa wanawake tu?kumuuliza mwanaume swalin kama hilo ni kosa la jinai.
 
Back
Top Bottom