Mambo ya muhimu kwa ma-playboy

[HASHTAG]#playboy[/HASHTAG] wa kweli hatii mimbaa maana hatotaka kuwaspoil warembo wa kweli ka battery za nokia torch znavyoumuka
Kwahiyo Bashite ni playboy wa ukweli?
 
Jitahidi kwako usiwe na jiko wala friji na kama choo kiwe cha nje unatumia na wapangaji wenzako.. hawachelewi kujifanya ally mapilau hawa..
 
Sheria feki kabisa hii... wa kitaa ndo safi unagonga mpaka na mashosti zake.
Mkuu kama hujawahi kuwa playboyb huwaezi kuelewa wanapita mademu wa kitaa ni wale wanaotafuta proud ila ukiwa mkali wa hii kazi utaelewa
 
Mkuu kama hujawahi kuwa playboyb huwaezi kuelewa wanapita mademu wa kitaa ni wale wanaotafuta proud ila ukiwa mkali wa hii kazi utaelewa
Bado hujapata uzoefu wewe... tuulize wazoefu tukupe mbinu.
 
Eti naskia kadiri unavyogegeda wanawake wengi unakuwa unazidi kunukia k na wanawake wanazidi kuvutiwa na ww sababu ya wewe kuwa na harufu ya k
 
Napima vipaji vya hawa madogo. Sioni kama tutapata warithi wa kweli.
Ndiyo maana sijatia neno yaani hiyo nayo ni sheria kweli? Sasa usipokula wa mtaani Utakula wapi?
 
Ha ha ha ha jf haijawai kuniboa. nipo kwenye hiace narudi nyumbani nashangaa abiria wanaangalia huku na huko wanamtafuta aliye toa harufu kumbe mimi nimej.a.m.b* kwa siri.
Mmmm[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125]
 
umezidi[emoji23][emoji23]kaa haya bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…