Ubongo wa mwanadamu umeundwa kupenda na kukabiliana na vitu laini kuliko vigumu. kama ilivyo katika soka, si wanasoka wote wenye uwezo wa kuwa Mbape au Messi, ila ni wachache hufanya hivyo kutokana na juhudi na kuweka bidii zaidi. nyuzi zenye maana si kwamba watu hawazioni, zinaonekana, ila watu hukosa cha kujibu hata kama majibu wakiwa nayo mfukoni. vitu vya kipuuzi hupata wachangiaji wengi sababu zinaendana na upuuzi wanao uhitaji, na si kwamba hawana maarifa ya mambo mengine ya maana na msingi kwao.