Mambo ya kuzingatia kwenye usahili

Mambo ya kuzingatia kwenye usahili

Mimi nakumbuka baada ya kuulizwa maswali na kuniaga niliomba muda na mimi niwaulize maswali kadhaa kuhusu taasisi yao, walikubali nikauliza maswali kama matatu hivi wakajibu mawili lingine wakasema watanitumia email. Baada ya hapo mmoja kati yao akaniambia nikamshukuru Mungu nimepata kazi.
 
Back
Top Bottom