Mambo ya kuzingatia kwenye usahili

Mambo ya kuzingatia kwenye usahili

Interview ya Maswali lazima iwepo .civics related questions

Hata yanahusiana na uhamiaji wenyewe mfano kamishna jenerali wa uhamiaji anaitwa nani ? Au ilo jeshi lilianza lini

Na mengineyo

By the way hongera
 
Mwingine
Maana mm nataka vitu vya kujua sio maswali ya kuulizwa bro
 
Katika tangazo la kazi soma pale kwenye "key or main accountabilities" au purpose of the role. Ujue wanataka mtu wa aina gani na majukumu yako yatakuwa nini. Ujiandae kuweza kujibu maswali yatakayotokana na kilicho ainishwa kwenye hiyo role uliyo apply.

Interview ita base sana hapo pamoja na maswali mengine ya ulewa (general questions).
 
Ok mfano wametaka mtu dereva hapo wanataka nini hasa kujua kutoka kwangu??
 
Katika tangazo la kazi soma pale kwenye "key or main accountabilities" au purpose of the role. Ujue wanataka mtu wa aina gani na majukumu yako yatakuwa nini. Ujiandae kuweza kukibu maswali yatakayotokana na kilicho ainishwa kwenye hiyo role uliyo apply.

Interview ita base sana hapo pamoja na maswali mengine ya ulewa (general questions).
Hichi kitu kilinisaidia saaaaaana..
Akitumie then ataleta mrejesho
 
Ok mfano wametaka mtu dereva hapo wanataka nini hasa kujua kutoka kwangu??
1. Ujue nini maana ya dereva.
2. Majukumu ya dereva ni yapi.
3. Udereva wa kujihami maana yake ni nini.
4. Ujue maana ya prestart na procedures zake.
5. Ujue alama mbali mbali za barabarani
6. Ujue sheria za barabarani
7. Ujue kuendesha gari yenyewe kwakuwa lazima utafanyiwa test ya kuendesha.

Zaidi ya hapo labda mambo mengine ya kiuelewa tu kiujumla.
 
Katika tangazo la kazi soma pale kwenye "key or main accountabilities" au purpose of the role. Ujue wanataka mtu wa aina gani na majukumu yako yatakuwa nini. Ujiandae kuweza kujibu maswali yatakayotokana na kilicho ainishwa kwenye hiyo role uliyo apply.

Interview ita base sana hapo pamoja na maswali mengine ya ulewa (general questions).
Daaah neno ningejua huja mwisho wa safari
Anyway thnx kwa mchango wako
 
Back
Top Bottom