Neutral huwa ni kichocheo kikubwa cha kuharibu brake pads.Since nimeanza driving sijawahi kutumia N just kuokoa mafuta kama wengi wanavyofanya,sababu huwa haijawahi kuniingia akilini kuokoa kiasi kidogo cha mafuta kwa ku risk break pads ambazo ni one ya mechanism za muhimu za kuokoa maisha yangu na gari pia kwa ujumla.
Noma sana 😂😂😂 mzee, yani kila nikitafakari nacheka sana!Unaweza kujihisi pedal uliyokanyaga siyo yenyewe ukarudi kukanyaga accelerator.
Hapo ndio utajua hujui.
Huwa natumia N kwenye foleni kali au kwenye mataa.Neutral huwa ni kichocheo kikubwa cha kuharibu brake pads.Since nimeanza driving sijawahi kutumia N just kuokoa mafuta kama wengi wanavyofanya,sababu huwa haijawahi kuniingia akilini kuokoa kiasi kidogo cha mafuta kwa ku risk break pads ambazo ni one ya mechanism za muhimu za kuokoa maisha yangu,ya wengine na gari pia kwa ujumla.
Na ndio maana hakuna sehemu nimetaja forward gear yoyote maana hizo ndio huwa zinabadilika automatic.
Mfano wa gear ambazo hazibadiliki automatic ni kutoka D kuja R, D kuja 2, D kuja L n.k. Hapa ndio hasa napaongelea.
And I have been doing it for number of times without problems and its advisable! L or L2 Ina speed range yake.ex.L2 Ina speed range up to 40km/hr in some cars-therefore ukiwa kwenye speed range ya up to 40km/hr unaweza shift from D to L2
D ina optional gear nyingi from 1st,2nd,....6th nk. na speed range yake ni 0km-180km/hr,range ya speed inaweza kuwa more or less kwendana na limiter ya gari husika.Hebu nifahamishe kidogo mkuu, when do switch from D to L or to L2 or D4 ..!
Huwa natumia N kwenye foleni kali au kwenye mataa.
Kukanyaga break muda wote inachosha.
Sasa hizi gear ulizotaja ndio ambazo mtu hapaswi kubadili wakati gari ikiwa kwenye mwendo (motion)?
Kale kaspea tairi majanga sana. .Nichangie na mimi Pointi namba 3.... Nimewahi kuona spear tire imeandikwa kuwa isitumike zaidi ya umbali wa 60km, aina ya gari ilikuwa ni hizi minicars zenye 660cc.
D ina optional gear nyingi from 1st,2nd,....6th nk. na speed range yake ni 0km-180km/hr,range ya speed inaweza kuwa more or less kwendana na limiter ya gari husika...
Kale kaspea tairi majanga sana. .
Kwenye gari yangu huwa nikikafunga mbele , taa ya ABS na Parking brake zinawaka ila gari linatembea kawaida...Nikikatoa tu nikaweka tairi husika, taa zinazima...hiki kitu kimenitokea mara mbili
magari ya mizigo yakiingizwa nchini yanapelekwa Arusha kufanyiwa modification ya chasis, axle na body ili ibebe lumbesa. Engine na Gearbox huwa haziguswi.2. Usizidishe mzigo kwenye gari lako
Kama unataka kuvuta tela au kubeba mzigo mkubwa ni vizuri ukarejejea kwenye owners manual ya gari lako.
magari ya mizigo yakiingizwa nchini yanapelekwa Arusha kufanyiwa modification ya chasis, axle na body ili ibebe lumbesa. Engine na Gearbox huwa haziguswi.
Na gari inapiga mzigo fresh.
Inakuaje?
Namanisha nachoka kukanya brake all the time. Naweka N halafu nachomoa mguu.Nimeshafungua gearboxes kadhaa za automatic.
Huwa inakuwa na clutch pack kadhaa ndani ambapo ndani ya kila clutch pack kunakuwa na clutch kadhaa. Pia ukiangalia michoro ya umeme ya gearbox huwa kunakuwa na uhusiano kati ya gearbox na brake system...
Kwanza hapa nazungumzia gearbox za automatic
Namanisha nachoka kukanya brake all the time. Naweka N halafu nachomoa mguu.
Maana kuitoa D kwenda P na kuirudisha all the time haina tofauti na kuendesha manual.
kwani gearbox za manual zenyewe hazipati moto zikizidisha mzigo kama za automatic?