JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,383
- 9,835
Ndugu yangu haya mambo acha tu! Nina escudo old na ni automatic transmission nilimuazima mtu karudisha gear box kwisha nikapeleka Kwa fundi anabadilisha vifaa baadhi tu, sasa nikiingiza gia inakuwa inashtuka hivi, hasa reverse, je hii ina maana gani wakuu?
Ndugu yangu haya mambo acha tu! Nina escudo old na ni automatic transmission nilimuazima mtu karudisha gear box kwisha nikapeleka Kwa fundi anabadilisha vifaa baadhi tu, sasa nikiingiza gia inakuwa inashtuka hivi, hasa reverse, je hii ina maana gani wakuu?
Usibadili gear gari inapokuwa inatembea.
Fafanua kidogo hapa mkuu
Maisha yangu yoote, sijawahi kuendesha gari automatic, nijuavyo mimi ni kuwa automatic ukishaweka d ni unakajaga mafuta tu,
Naomba unifafanulie hapo uliposema kuwa "usibadili gia,gari inapokuwa inatembea umenichanganya kidogo mkuu"
Maelezo tafadhali.
Duh! Huyu wa D to R, ni gegedu.Mfano shifting from D to R hapo umebadili gear. Sasa ukifanya hivo wakati gari inatembea unasaga vitu.
Possible kuna valve ina stuck... nikizicheck valves zake tunaweza kupata solution.
Ngoja nijipange maana Nipo songwe
Hakuna. Na hata kubadili kutoka D kwenda kwenye hiyo S au M then unachange up and down unafanya gari ikiwa inatembea.Mkuu kwenye gari ambayo ni semi-automatic (CVT) kama hiyo katika picha. Mtu mwingine hapendelei kuendesha kama automatic anachagua upande huo wa manual ambapo kuna alama + na - . Je, kuna madhara ya kufanya changedown au enginebrake kwa hizo gear box.
Boss unataka kuniambia natakiwa kusimama ili nibadili kutoka D kwenda 2 au L...huwa nikiwa milimani wakati wa kushuka nimekuwa nikifanya hivyo...Hata ukitoka D kuja 2, 3 n.k. kama gari inatembea. ni majanga. Gearbox automatic ni kama mayai tu...
Japo ukiitunza inakaa
Hapa hata mimi nasubiri jibuBoss unataka kuniambia natakiwa kusimama ili nibadili kutoka D kwenda 2 au L...huwa nikiwa milimani wakati wa kushuka nimekuwa nikifanya hivyo...
Mkuu, shida ni kutoka D kwenda R. Ila hizo nyingine L, 2, 3 na D hazina shida kubadili as long as umezingatia mwendo na majitaji sahihi ya kubadilisha.Hata ukitoka D kuja 2, 3 n.k. kama gari inatembea. ni majanga. Gearbox automatic ni kama mayai tu...
Japo ukiitunza inakaa
Mkuu, shida ni kutoka D kwenda R. Ila hizo nyingine L, 2, 3 na D hazina shida kubadili as long as umezingatia mwendo na majitaji sahihi ya kubadilisha.
Kutoka D kwenda R wakati gari linatembea ni balaa. Unaweza kuua gearbox. Na mifumo ya gari nyingi za kisasa haiwezekani kutoka D kwenda R ukiwa kwenye mwendo. Hata ukijaribu inagoma kabisa.Mkuu hivi unaweza badili toka D kwenda R wakati gari inatembea na ikawa sawa tu,au mimi ndo nachanganyikiwa
Mkuu kwenye gari ambayo ni semi-automatic (CVT) kama hiyo katika picha. Mtu mwingine hapendelei kuendesha kama automatic anachagua upande huo wa manual ambapo kuna alama + na - . Je, kuna madhara ya kufanya changedown au enginebrake kwa hizo gear box.
Boss unataka kuniambia natakiwa kusimama ili nibadili kutoka D kwenda 2 au L...huwa nikiwa milimani wakati wa kushuka nimekuwa nikifanya hivyo...