Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,221
- 2,425
๐ ๐ฎ๐ฎ๐ท๐ฎ๐ฏ๐ ๐๐ฎ ๐ง๐ฒ๐น๐ฒ๐ด๐ฟ๐ฎ๐บ ๐ฏ๐ผ๐๐
Toka kuanza kutumika 2013 telegram ni app ambayo inatumiwa na watu wengi sana ulimwenguni kwani ina mambo mengi mazuri na ya kushangaza ambayo ukiyajua utaacha kutumia daima !!
Telegram bots ni program ndogo iliyopo Kwenye telegram ambayo utaweza kuitumia kufanya mambo mbalimbali utaweza kuchati naye na kukusaidia kupata kitu kwa haraka zaidi.
Bots ni akaunti za telegram zinazoendeshwa na software Wala sio watu mara nyingi zinatumia teknolojia ya Artificial Intelligence (AI) Kuweza kufanya vitu vingi kama vile
kufundisha, kucheza , kutafuta , kutangaza, kukumbusha, kuunganisha na huduma zingine, au hata kupitisha amri kwenye intaneti kutafuta kitu.
Fahamu Powerful Telegram Bots ambazo ulikua huzijui
๐ง๐ฎ๐ณ๐๐๐ฎ ๐บ๐ผ๐๐ถ๐ฒ ๐๐ผ๐๐ผ๐๐ฒ ๐บ๐ฝ๐๐ฎ
Ikiwa unatafuta movie
Tumia telegram utaweza kupata movies yoyote unayotaka Ambazo utazikuta Kuna series, video , Action , horror Yani any movie utaweza kuzipata na kudownload kupitia telegram.
Ingia telegram andika @MovieYbot Kisha ingia Kwenye All movie Y 
๐๐ป๐ฑ๐ถ๐ธ๐ฎ ๐๐๐๐ถ๐ด๐ป๐บ๐ฒ๐ป๐ ๐ฌ๐ผ๐๐ผ๐๐ฒ
Ikiwa unataka msaada wa kuandikiwa assignment labda ya chuo na ufahamu pa kuanzia Tumia telegram sasa utaweza kuandikiwa assignment faster we unandika unataka assignment ya Nini basi yenyewe automatically inafanya kazi
Ingia Kwenye telegram andika @AssignmentXbot >> bonyeza start kuanza kutumia
๐ฃ๐ฎ๐๐ฎ ๐ธ๐ถ๐๐ฎ๐ฏ๐ ๐ฐ๐ต๐ผ๐ฐ๐ต๐ผ๐๐ฒ ๐๐๐ฟ๐ฒ
Kama wewe ni msomi wa vitabu na unapenda kupakua vitabu ila changamoto vingi vinauzwa basi kupitia telegram unavipata Bure bila kulipia chochote we kazi Yako inakua kusoma tu utaweza kupakua kupitia simu , kompyuta au tablet.
Ingia Telegram andika @EbookDownloadBot >> start utatafuta kitabu chako chochote kupitia bots
Teknolojia ni yetu sote
Toka kuanza kutumika 2013 telegram ni app ambayo inatumiwa na watu wengi sana ulimwenguni kwani ina mambo mengi mazuri na ya kushangaza ambayo ukiyajua utaacha kutumia daima !!
Telegram bots ni program ndogo iliyopo Kwenye telegram ambayo utaweza kuitumia kufanya mambo mbalimbali utaweza kuchati naye na kukusaidia kupata kitu kwa haraka zaidi.
Bots ni akaunti za telegram zinazoendeshwa na software Wala sio watu mara nyingi zinatumia teknolojia ya Artificial Intelligence (AI) Kuweza kufanya vitu vingi kama vile
kufundisha, kucheza , kutafuta , kutangaza, kukumbusha, kuunganisha na huduma zingine, au hata kupitisha amri kwenye intaneti kutafuta kitu.
Fahamu Powerful Telegram Bots ambazo ulikua huzijui

๐ง๐ฎ๐ณ๐๐๐ฎ ๐บ๐ผ๐๐ถ๐ฒ ๐๐ผ๐๐ผ๐๐ฒ ๐บ๐ฝ๐๐ฎIkiwa unatafuta movie
Tumia telegram utaweza kupata movies yoyote unayotaka Ambazo utazikuta Kuna series, video , Action , horror Yani any movie utaweza kuzipata na kudownload kupitia telegram.
Ingia telegram andika @MovieYbot Kisha ingia Kwenye All movie Y 
๐๐ป๐ฑ๐ถ๐ธ๐ฎ ๐๐๐๐ถ๐ด๐ป๐บ๐ฒ๐ป๐ ๐ฌ๐ผ๐๐ผ๐๐ฒ Ikiwa unataka msaada wa kuandikiwa assignment labda ya chuo na ufahamu pa kuanzia Tumia telegram sasa utaweza kuandikiwa assignment faster we unandika unataka assignment ya Nini basi yenyewe automatically inafanya kazi
Ingia Kwenye telegram andika @AssignmentXbot >> bonyeza start kuanza kutumia

๐ฃ๐ฎ๐๐ฎ ๐ธ๐ถ๐๐ฎ๐ฏ๐ ๐ฐ๐ต๐ผ๐ฐ๐ต๐ผ๐๐ฒ ๐๐๐ฟ๐ฒKama wewe ni msomi wa vitabu na unapenda kupakua vitabu ila changamoto vingi vinauzwa basi kupitia telegram unavipata Bure bila kulipia chochote we kazi Yako inakua kusoma tu utaweza kupakua kupitia simu , kompyuta au tablet.