Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,781
Inapendeza siku moja moja.haya mammbo unatakiwa kufanya wakati hamna watoto
Siku moja moja? Kwanini sio kila siku?
Kwanini watoto wakiwepo asifanye?
Ndio siku moja moja. Hivi unawajuwa baadhi ya wanawake wa kitanzania au unawasikia.anaweza akakuingiza kwenye ratiba kabisa ya kupika. Watoto wakiwepo ni kazi yao sasa kumsaidia mama yao.siyo baba tena.
Kwani kukiwa na ratiba ya kupika kuna shida gani?
Watoto wakiwa wadogo under 7 nani anamsaidia?
Kwani kukiwa na ratiba ya kupika kuna shida gani?
Watoto wakiwa wadogo under 7 nani anamsaidia?