Mambo ya KUNDU...... CHI

Sesten Zakazaka njoo unipe majina ya hawa Samaki mana mi nimeambulia kuwajua Tasi na wale C h a n g u tu hapo. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Naona mambo ya Kundu.chi...hayo Shadeeya
Wapajua huko? Majina ya samaki kuna kolekole, changu, pweza, ngisi, jodari,nguru papa, pono, tasi,chuchunge na majina mengine uje kule nikifundisheπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Tangu jumatatu nna hamu ya samaki ila sijapata wasaa wa kumtengeneza. Napenda samaki nimkaange mwenyewe najipimia chumvi na ndimu.

Changu wa blue na wekundu ni watamu haooo....

Ngoja nipange safari ya Cape Town aka beach Matata.
 
Wapajua huko? Majina ya samaki kuna kolekole, changu, pweza, ngisi, jodari,nguru papa, pono, tasi,chuchunge na majina mengine uje kule nikifundishe[emoji2][emoji2][emoji2]
Yule samaki mwenye miba mingi anayepewa mtoto wa kambo anaitwaje ??
 
Mambo yote Dada ila kuna wale dagaa tunawaita uono hua wanakaangwa wanawauza kwa mafungu aisee ni balaa. Hua nawanunua hats wa buku 5 natafuna tu kwenye foleni njiani
Tangu jumatatu nna hamu ya samaki ila sijapata wasaa wa kumtengeneza. Napenda samaki nimkaange mwenyewe najipimia chumvi na ndimu.

Changu wa blue na wekundu ni watamu haooo....

Ngoja nipange safari ya Cape Town aka beach Matata.
 
Naona mambo ya Kundu.chi...hayo Shadeeya
Wapajua huko? Majina ya samaki kuna kolekole, changu, pweza, ngisi, jodari,nguru papa, pono, tasi,chuchunge na majina mengine uje kule nikifundisheπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Yabidi jamaani maana kukaa Bara imefanya niwajue samaki wa maji baridi tu hawa wengine inakuwa mtihani. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mambo yote Dada ila kuna wale dagaa tunawaita uono hua wanakaangwa wanawauza kwa mafungu aisee ni balaa. Hua nawanunua hats wa buku 5 natafuna tu kwenye foleni njiani
Nawapenda wale fresh, wanakaangwa halafu unapata Ugali,mlenda Wa bamia na mtindi, my favorite.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…