B Blueband JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 668 Reaction score 244 May 26, 2015 #21 TheChoji said: Hivi..? Yeye hatakiwi kufanya chochote ili nisimchoke? Mana naona yote natakiwa kufanya mimi tuu.. Click to expand... Una akili sana...
TheChoji said: Hivi..? Yeye hatakiwi kufanya chochote ili nisimchoke? Mana naona yote natakiwa kufanya mimi tuu.. Click to expand... Una akili sana...
Last emperor JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 10,346 Reaction score 9,891 May 26, 2015 #22 Mwanamke anahitaji kupendwa tu, muda wote attention weka kwake, usiangalie mwanamke mwingine. Uwe obsessed nae
Mwanamke anahitaji kupendwa tu, muda wote attention weka kwake, usiangalie mwanamke mwingine. Uwe obsessed nae
Kukudume2013 JF-Expert Member Joined Jan 8, 2013 Posts 1,659 Reaction score 739 May 26, 2015 #23 Wengine washazoea kupigwa ndio wanajua kuwa unawapenda
M Madam Mwajuma JF-Expert Member Joined Sep 13, 2014 Posts 7,075 Reaction score 6,774 May 26, 2015 #24 hvyo hapo tu keshanimaliza ntamganda nakung'ang'ana kama nkurunzinza
A AZUSA STREET JF-Expert Member Joined Oct 31, 2013 Posts 2,007 Reaction score 1,898 May 26, 2015 #25 saddyy hahaha, hapo kwenye namba 8, wao ndio wanasema sisi wanaume ni kama watoto tunahitaji kudekezwa kabisa. hata hivyo, haya uliyoandika ni kwa mwanamke wa wapi, mwanamke wa kikurya pia anahusika hapa? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
saddyy hahaha, hapo kwenye namba 8, wao ndio wanasema sisi wanaume ni kama watoto tunahitaji kudekezwa kabisa. hata hivyo, haya uliyoandika ni kwa mwanamke wa wapi, mwanamke wa kikurya pia anahusika hapa?
Kingmairo JF-Expert Member Joined Apr 7, 2012 Posts 4,936 Reaction score 3,549 May 26, 2015 #26 Madame S said: hata mmea bila matunzo haukui na ukikua kamwe hauwi ni wenye afya nzur well said. Click to expand... Nimekubamba na huku mkuu. Haya hebu ninong'oneze lipi hapo litakumaliza kabisa ujanja woote!
Madame S said: hata mmea bila matunzo haukui na ukikua kamwe hauwi ni wenye afya nzur well said. Click to expand... Nimekubamba na huku mkuu. Haya hebu ninong'oneze lipi hapo litakumaliza kabisa ujanja woote!
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 63,611 Reaction score 127,998 May 26, 2015 #27 saddyy ban uliyopigwa mkuu imetokana na uzi huu huu wa malavidavi au? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
mito JF-Expert Member Joined Jun 20, 2011 Posts 10,811 Reaction score 11,032 May 26, 2015 #28 ukiwa na mpunga then ukamfanyia hayo, hapo mambo saaafiii lakini bila mpunga ndg yangu mmmh nina mashaka
ukiwa na mpunga then ukamfanyia hayo, hapo mambo saaafiii lakini bila mpunga ndg yangu mmmh nina mashaka
mito JF-Expert Member Joined Jun 20, 2011 Posts 10,811 Reaction score 11,032 May 26, 2015 #29 hiyo namba 7 mimi mwenyewe shahidi
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,692 Reaction score 41,137 May 26, 2015 #30 Hiyo namba moja hapana! Kwanza wanawake huwa wanapenda surprise! Namkuta kitchen ameinama anatafuta sijui nini namtomasa anaruka waya!
Hiyo namba moja hapana! Kwanza wanawake huwa wanapenda surprise! Namkuta kitchen ameinama anatafuta sijui nini namtomasa anaruka waya!
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 60,200 Reaction score 138,455 May 26, 2015 #31 Kwa upande wangu vitu vinavyofanywa kwa ratiba (routine) ndio vinachosha! Sasa tendo la ndoa kwa ratiba si ndio mwanzo wa kuchoka tendo lenyewe?! Na ukishachoka tendo LA ndoa kuna ndoa hapo?!
Kwa upande wangu vitu vinavyofanywa kwa ratiba (routine) ndio vinachosha! Sasa tendo la ndoa kwa ratiba si ndio mwanzo wa kuchoka tendo lenyewe?! Na ukishachoka tendo LA ndoa kuna ndoa hapo?!
kajunjumele JF-Expert Member Joined Jul 5, 2014 Posts 2,490 Reaction score 1,364 May 26, 2015 #32 Triple A said: kila mwanamke na tretment yake...! Click to expand... Vita ni Viita Mura,...
JITU LA MIRABA MINNE JF-Expert Member Joined Mar 28, 2015 Posts 726 Reaction score 483 May 26, 2015 #33 Gender Balance,pia wanawake hawapendeki hawana shukran bora niwe 50/50 asinisome dadeki zao hawakawii kukuona -----
Gender Balance,pia wanawake hawapendeki hawana shukran bora niwe 50/50 asinisome dadeki zao hawakawii kukuona -----
gmosha48 JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 2,399 Reaction score 1,482 May 26, 2015 #34 Mleta maada tanguliza kutangaza maslahi yako katka mjadala huu. Je, umeoa au umeolewa?
CHENGU MANURE JF-Expert Member Joined May 26, 2015 Posts 914 Reaction score 567 May 26, 2015 #35 maneno mazuri mkuu. Ni mawazo mazuri kwa kuanzia. nomependa
uporo wa wali ndondo JF-Expert Member Joined Dec 3, 2013 Posts 3,454 Reaction score 2,244 May 26, 2015 #36 We jamaa,kila chizi na fani yake,means kwamba na kila mgonjwa na dozi yake, kuna wanawake hawapendagi hizo swaga zenu za maua na card.
We jamaa,kila chizi na fani yake,means kwamba na kila mgonjwa na dozi yake, kuna wanawake hawapendagi hizo swaga zenu za maua na card.
Sir oby JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 331 Reaction score 79 May 26, 2015 #37 upo sahihi kabisa mtoa madA
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,317 Reaction score 103,579 May 26, 2015 #38 Hawa wapenda fedha hawa
ramadhani khan Member Joined May 26, 2015 Posts 12 Reaction score 0 May 26, 2015 #39 Yote sawa ila akupende toka moyon
B Babeshi Mwamba Senior Member Joined Jan 7, 2013 Posts 196 Reaction score 40 May 26, 2015 #40 namba 6 tu ndo napingana nayo.