Mambo ya kufanya ili kufurahia tendo la ndoa

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,569
9,429
Swala la mapenzi ni muhimu na kawaida kwa binadamu hasa pale muda wake unapofika. Yafuatayo ni mambo unayoweza kufanya ili kuongeza hamu, utamu na ashiki kwa mwenzako ili kumridhisha na kuboresha uhusiano.

  • Kula chakula kiasi, kushiba sana kabla ya tendo la ndoa itakusababishia uchovu, usingizi na uvivu katikati ya tendo la ndoa. Epuka vyakula na vinywaji vinavyongeza nguvu kwani vitachangia kukuchosha wakati wa tendo.
  • Usibishane na mwenzio, hii itasababisha kupoteza nia na hamu ya kufanya tendo na hivyo kukukosesha raha katikati ya tendo. Epuka hasira na mawazo kabla na wakati wa tendo.
  • Usiwe na hofu juu ya mwili wako na maumbile yako, hii itakusaidia kujiamini na kujiheshimu mbele ya mwenza wako na jaribu kuweka mawazo sana katika sehemu ya mwili wako na mwenzio unayoikubali zaidi.
  • Usitegemee mengi na mazuri tu, kumbuka miili ya binadamu iko tofauti hivyo jiandae kukubaliana na lolote hasa unapofanya mapenzi kwa mara ya kwanza au na mpenzi mpya usitegemee kuridhishwa muda wote.
  • Usipige punyeto kabla ya tendo la ndoa hii itapunguza hamu ya tendo la ndoa au kufika kileleni mapema.
  • Usifanye mapenzi kimya kimya, ongea au toa sauti pale unaposikia raha itasaidia kuongeza hamu na kumfurahisha mwenzio.
  • Mridhishe mwenzio, hakikisha mwenzio anafika kileleni hata kwa kuzuai mshindo na kukojoa haraka.
  • Punguza uzito, kaa mkao na mtindo unaokufanya kuwa mwepesi na usiwe mzigo kwa mwenzio.
  • Usianze tendo kabla mwenzio hajawa tayari itakufanya. hii itasababisha maumivu na usumbufu kwake.
 
Kwetu Uswazi lazima ujifunze kipiga kimya kimya,la sivyo utaamsha majirani na kujaza wapiga chabo dirishani.
 
hizo zote mbwembwe tuu...kama you realy hot for each other nakwambia mkionana tuu chupi ya mwanamke ilishalowa na ata foreplay hamna mnajikuta mlishanjunjana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom