101 East JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 1,057 Reaction score 2,258 Dec 18, 2019 #1 1. Mahusiano yasiyokupa furaha. Ni sumu. 2. Visingizio vya kutoanza safari ya ndoto zako 3. Urafiki usioongeza thamani kwenye maisha yako 4. Kujihukumu kwa kujilinganisha na wengine. 5. Kukubaliana na kidogo kuliko unachostahili Ongezea[emoji116] Sent using Jamii Forums mobile app
1. Mahusiano yasiyokupa furaha. Ni sumu. 2. Visingizio vya kutoanza safari ya ndoto zako 3. Urafiki usioongeza thamani kwenye maisha yako 4. Kujihukumu kwa kujilinganisha na wengine. 5. Kukubaliana na kidogo kuliko unachostahili Ongezea[emoji116] Sent using Jamii Forums mobile app
maji ya gundu JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 3,121 Reaction score 4,855 Dec 18, 2019 #2 namvumi king, Mkuu unaonekana hauna subira kabisa
EINSTEIN112 JF-Expert Member Joined Oct 26, 2018 Posts 21,708 Reaction score 35,716 Dec 18, 2019 #3 Mekuelewa sana Ni ntaacha kuhonga nataka kuoa kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,575 Reaction score 55,141 Dec 19, 2019 #4 Kweli ni mwendo wa kusonga mbele ila yataka ujasiri na maamuzi thabiti la sivyo kila mwisho wa mwaka tutakua tunajiwekea malengo yasiyotimilika
Kweli ni mwendo wa kusonga mbele ila yataka ujasiri na maamuzi thabiti la sivyo kila mwisho wa mwaka tutakua tunajiwekea malengo yasiyotimilika