Mkuu hata manabii wa shetwani nao wanaona katika Roho, ila chafu. Kumbuka Jesus mwenyewe aliambiwa anafanya miujiza kwa nguvu za belzebuli.tunapigwa tu mkuu
ni utapeli. mtu pekee anayeweza kuona kwenye huo ulimwengu wa roho ni nabii wa Mungu, sio hawa wanaojipachika unabii
mtu hajipi unabii, Mungu ndo anampa mtu unabii. tena ukiangalia manabii wa kweli hawakuipenda hiyo kazi . waliigomea kwanza
Umejibu vema kabisa. Unabii siyo kitu cha kukimbilia au kujipachika kama haya matapeli ya leo. Nashukuru mamlaka zimeanza kusikiliza. Kuna tapeli moja limekimbizwa juzi. Ni mwanzo mzuri. Ila bado wako wengi. Nao wamulikwe. Nimesikia nchi jirani wana mpango wa kuweka sheria hawa matapeli wa kuuza visaidizi vya imani kama maji,mafuta,keki,vitambaa n.k washughulikiwe.tunapigwa tu mkuu
ni utapeli. mtu pekee anayeweza kuona kwenye huo ulimwengu wa roho ni nabii wa Mungu, sio hawa wanaojipachika unabii
mtu hajipi unabii, Mungu ndo anampa mtu unabii. tena ukiangalia manabii wa kweli hawakuipenda hiyo kazi . waliigomea kwanza
Swali ni roho ni nini? Ni kama nikikuuliza mwanga ni nini ukaniambia ni electromagnetic waves na ukanipa na properties zake. Ukisema mwanga ni mwanga ndio umejibu nini??Roho ni roho tu mkuu...kwani kumetokea nini
Kwani wewe unaitaka roho ya nini🤒Swali ni roho ni nini? Ni kama nikikuuliza mwanga ni nini ukaniambia ni electromagnetic waves na ukanipa na properties zake. Ukisema mwanga ni mwanga ndio umejibu nini??
Hebu rekebisha uandishi wako nikueleweMtoa madam ukikata Roho utakuwa Roho Nini na maombi ya kiroho yapoje
Ndiyo nia yangu ni kuwafumbua macho watu waachane na huu usanii. Leo nilikuwa naongea na mkristo jirani yangu nikamuuliza kuna kitabu kwenye biblia kinaitwa kitabu cha mtume Ernest umewahi kukisoma akasema bado ila atakipitia,,😁🤣. Yaani hawa wakristo wanaomiminika kwenye haya makanisa uchwara hata hiyo biblia hawaijui. Ni makondoo yanayopelekwa machinjoni tu.Ni loophole ya kutupiga tu kwa sababu hayo mambo kikawaida jamii haina uelewa nayo. Hata mambo yasiyo na logic kama uchawi yana-operate huko huko.
Roho ya nini kama genitive case au ulimaanisha kwa nini nataka kujua? SijakuelewaKwani wewe unaitaka roho ya nini🤒
Ni utapeli tu hawana tofauti na waganga.Wahubiri wa imani ya kikristo hebu muwe pia na maelezo fasaha mnaposema habari za ulimwengu wa roho. Unakuta mhubiri anasema naona katika ulimwengu wa roho..........! Roho ni nini. Au na ninyi mmekaririshwa tu kwamba roho siyo material substance. Immaterial, lakini wakati huo huo unahubiri kwamba roho wa Mungu anakaa ndani ya mtu. Au ndani ya mtu kuna roho. Au mambo ya kiroho ni mambo ambayo akili ya binadamu haiwezi kuyaelewa. Maneno kama haya ni vichaka tu vya kujificha ili kufanya ajenda za siri. Kama huwezi kufafanua roho ni nini usihubiri huo upambavu maana hata unachokihubiri huwezi kukieleza. Ni kama unataka watu wakufiate kwenye barabara ya gizani. Acheni kuidhalilisha imani. Yesu ni mwanga siyo giza.
UtapeliTaasisi yenye nguvu ulimwenguni ni suhulishi ya mambo yote duniani
Ewe mwanamke kwanini uteseke duniani wakati msaada upo
Uwe na miaka 25 -45
Uwe mwanamke shupavu
Uwe na kazi yako binafsi au kipaji chako/ usiwe umeajiriwa uwe unajitegemea katika utafutaji wako mwenyewe.
Uwe tayari kuchinja mbuzi wakubwa 5 kama sehemu ya kiapo.
Utapewa bilioni 2.5 kama sehemu ya mtaji wako.
Njoo utajirike Sasa umaskini ni mbaya na unatesa.
View attachment 3065487
Wakija kushtuka ni too late.Ndiyo nia yangu ni kuwafumbua macho watu waachane na huu usanii. Leo nilikuwa naongea na mkristo jirani yangu nikamuuliza kuna kitabu kwenye biblia kinaitwa kitabu cha mtume Ernest umewahi kukisoma akasema bado ila atakipitia,,😁🤣. Yaani hawa wakristo wanaomiminika kwenye haya makanisa uchwara hata hiyo biblia hawaijui. Ni makondoo yanayopelekwa machinjoni tu.