Mambo ya Kikwete haya hapa...


makamba hujambo? mbona mwanao kanyimwa uwaziri sasa?
 
DU Dar Es Salaam ww mkali hii video nimeichungulia kwa jamaa mmoja huku bara akaniambia ni SIRI ya Ikulu nimefurahi kutudondoshea ingawa ni mpango wa muda mrefu lakini vizazi vyetu vitakuwa mbali kwa Afrika, Jiji la Kigamboni kushika nafasi ya 3 si mchezo.
 
Hata kunarrate mmesaidiwa na wenye lugha yao mweh hizi kweli ni hadithi za akina bunuwasi
 

Siri gani wewe? Ndo manavyojidanganya huko vijijini? Siri inawekwa You Tube?
 
Am outta here kumbe mtu mwenyewe hana hoja anatuletea copy and paste za mashairi yake ya midundiko na mchiriku
 
Am outta here kumbe mtu mwenyewe hana hoja anatuletea copy and paste za mashairi yake ya midundiko na mchiriku

1) Mtakufa navyo vijiba vya roho.
 
Rev Masanilo, umeyaona mambo ya JMK, vipi? ina uma?
 

Sijakuelewa.
 


Bcoz ww ni i.d.iot, mshamba, shuleless, low profile, hata kuelezwa/kuambiwa kitu hufai?
Hivi unajua Kigamboni ndio moja ya miradi hovyo kabisa ambayo itatuongezea umaskini mara 2 zaidi? kujenga, Kingamboni haiwezi kutupunguzia traffic jam in Dar, Kigamboni eti itaweka zaidi ya wakazi laki 5, unaakili kweli ww ukitoa watu laki 5 Dar yenye wakazi zaidi ya milioni 5.8 ndio utapunguza congestion? think...!!! think..!!! sasa kwsbb ww kilaza wenye akili wataelewa naongea nini, wacha ujinga, unajua gharama za kuijenga Kigamboni? unasema tu, hizo fedha zingewekezwa kuimarisha miundo mbinu ya Dar ambayo ingetumia fedha kidogo, foleni zote zingekwisha, na bado hizo fedha zinge jenga reli, airports, na kupanua mji mpya kwenye eneo kubwa mfano halfway between bagamoyo n Dar, mji ambao utachukuwa wakazi wengi, sasa kwa Taarifa yako kuijenga kigamboni is among the worst Ever projects katika historia ya Tz, haina faida yoyote, JK eti anasema itapunguza Traffic jam, jamani, of which si kweli, utoe watu laki 5 Dar, eti utapunguza foleni? halafu hizo pesa ni nyingiiiiiii mno, kwa zero job, hata at least wangejenga fast train track Dar, kwa hizo fedha ungepunguza foleni, yaani utafikiri JK hajasafiri miji mikubwa, shame, shame, na ww mtoa mada akili yako inawaza taarabu tu, punga ww, maana kichwa short sighted, zero
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…