mambo ya IOS 5 kutokwa kwa Apple haka kavideo katakupa kidokezo mambo yanayokuja jioni hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mambo ya IOS 5 kutokwa kwa Apple haka kavideo katakupa kidokezo mambo yanayokuja jioni hii

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by i411, Oct 4, 2011.

 1. i411

  i411 JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  mambo ya future hiyo ndo program ya vitual personal assistance (VPA) apple walipredict him kitu wangeweza 2011 nod jioni him wanatuletea angalia kavideo hapo chino. Sasa nasubiria kind androids na nokia na microsoft wakurupuke walete zao kweli dunia hii tunaelekea kwenye mambo ya star trek
  [video]http://events.apple.com.edgesuite.net/11piuhbvdlbkvoih10/event/index.html[/video]
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. k

  khalids19 Senior Member

  #2
  Oct 4, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  this is simple and was done before using different android programs u could do this so its nothing new.. BUT! apple wakuonesha kitu wanaonekana kama wameanzisha wao
   
 3. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,455
  Trophy Points: 280
  mkuu uko sawa apple wakionesha kitu watu wanadhani ndo wameanza wao kiasikwamba kuna watu wanaamini kwamba apple ndo walikuwa wa kwanza tengeneza simu yenye touch screen wakat pda's almost zote zilikuwa zina touch screen ambayo ilikuwa resisitive. na wajua iphone 1 was marely a smart phone sema aliwapumbaza watu kwa graphic interface yake.
  but mwisho wa siku ni lazima tukubari kwamba apple ni mkaliiiiii.
  na itakapo toka iphone 5 msije sema apple ndiye kawawakwanza kutoa simu yenye wireless charging system. tablets za hp zenye kutumia web os znayo hiyo ktu.
   
 4. i411

  i411 JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Acha uuongo were apple walitengeneza him video miaka ya 80's wakionyesha vile future itakavyokuwa na kama umeangalia vizuli hiyo video utaona kana mwaka 2006 alafu miaka mitano baadaye huyo jamaa anafanya presentation. Hiyo ni kama wametabiti wataweza 2011. Nikiangalia Ipad ni kama hako kakitabu lakini bado nikishamba kulinganisha na tekinilogia ya haka kavideo. Dunia hiii sijaona na sijasikia kitu unaweza intaract nacho na kikakuletea unachotaka. Mkombozi wetu sasa hivi ni google lakini ni tuu general. Future ni interaction on personal level ndo hiyo video inaonyesha hiyo vitual personal assistance yani komputer yako inakuwa inakujua wewe na kile unachotaka na inakusaidia ukisahau kitu inanakukumbusha. Kwa taarifa yako hii tekinolojia bado changa sana dunia hii. Lakini apple wamenunua kakampuni kalikuwa kanaenda njia hii ndo wameintagret hiyo system yaao kwa iOS 5 tusubirie usiku tuone kama ni kiboko. Alafu ndo tusubirie adroid na microsoft nawenyewe walete vyao.
   
 5. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  isnt VPN (VIRTUAL PRIVATE NETWORK?)
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. i411

  i411 JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  hapo nilipitiliza mkuu ni vpa
   
 7. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #7
  Oct 4, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,141
  Trophy Points: 280
  Nortel kushirikiana na BNR walitengeneza touch screen ya kwanza kwenye simu iitwayo Meridian M7900.

  BNR ndio research institute ya kwanza duniani kutengeneza digital switch ya kwanza ya telecommunications.

  Apple na wengine wote wanaziboresh tu kwa kuzitengenezea applications tofauti.
   
 8. i411

  i411 JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  mambo ya iphone 5 demo hapo chini mwenye wivu ajinyonge hakuna adroid inafanya hivi…...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,141
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Norstar Meridien M7900 Telephone Set
  Bell Northern Research
  Northern Telecom, Mississauga
  ABS plastic
   
 10. i411

  i411 JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Iphone sasa wanakuletea kitu unaongea nacho na kinakujibu haraka iwezekanavyo mahali popote. hii sijapata ona mpaka leo kutoka kwa iphone na application yao ya SIRI
  [​IMG]
  [​IMG]
  Hakuna simu nyingine yaweza fanya hivi vizuri labda baada ya mwaka na bado zitakuwa kero tuu
   
 11. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #11
  Oct 5, 2011
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,124
  Likes Received: 23,734
  Trophy Points: 280
 12. i411

  i411 JF-Expert Member

  #12
  Oct 5, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Mimi nimependa tu hako kakijisoftware kutoka kwa SIRI app lakini apple sasa wameanza utemi yaani wameona hawana sana mshindani yaani adroids wakijipanga kwa mafungu yao kama 50 sijui sumsung, LG, htc na wengineo na bado wameshidwa kuipigisha mchakamchaka Iphone. Sasa apple wameamua tu kutuletea simu hile hile ya mwakajana na kuongeza S tuu. Mimi nilikuwa nazania tungeona Iphone 5 labda bigger screen na mengineo ambayo hata sijafikiria lakini loo ndotozangu zimekatiswa. Sasa nasubiria kama adroids zitaweza leta kitu cha maana cha fufanya apple watuletee iphone 5 by next june na bomba
   
 13. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #13
  Oct 5, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,141
  Trophy Points: 280

  Hii nzuri sana, ukiwa na hamu ya ligi unalianzisha na simu yako!
   
Loading...