CHOKAMBAYAVIBAYA New Member Joined Feb 3, 2012 Posts 1 Reaction score 0 Feb 3, 2012 #1 Jamani mimi kwa macho yangu sijaliona jina langu kwenye listi ya wanaodaiwa hivyo nashukuru wamenitendea haki kabisa....
Jamani mimi kwa macho yangu sijaliona jina langu kwenye listi ya wanaodaiwa hivyo nashukuru wamenitendea haki kabisa....
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,082 Reaction score 2,358 Feb 3, 2012 #2 Sawa,umetendewa haki,hatukatai,lakn hii thread co mahali pake hapa mkuu.
Michael Amon JF-Expert Member Joined Dec 22, 2008 Posts 8,769 Reaction score 3,644 Feb 4, 2012 #3 CHOKAMBAYAVIBAYA said: Jamani mimi kwa macho yangu sijaliona jina langu kwenye listi ya wanaodaiwa hivyo nashukuru wamenitendea haki kabisa.... Click to expand... Nadhani hii thread inapaswa kuwepo katika jukwaa la elimu
CHOKAMBAYAVIBAYA said: Jamani mimi kwa macho yangu sijaliona jina langu kwenye listi ya wanaodaiwa hivyo nashukuru wamenitendea haki kabisa.... Click to expand... Nadhani hii thread inapaswa kuwepo katika jukwaa la elimu
Dr.Chichi JF-Expert Member Joined Apr 30, 2008 Posts 2,393 Reaction score 639 Feb 4, 2012 #4 umeingia choo cha kike mkuu
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,229 Feb 4, 2012 #5 mikopo na mapenzi, laa.
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,559 Reaction score 11,496 Feb 4, 2012 #6 Kongosho said: mikopo na mapenzi, laa. Click to expand... Labda bodi inatoa mikopo ya mapenzi siku hizi.
Kongosho said: mikopo na mapenzi, laa. Click to expand... Labda bodi inatoa mikopo ya mapenzi siku hizi.