Mambo ya grp za whatsapp

Kigger

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
870
Reaction score
814
Jamani watu wa hili group naomba msiwe hivyo jamani, maana nimesikitishwa sana kusikia kuna mtu wa group hili jina simtaji ila ajirekebishe, maana anakusanya michango ya chini chini eti kunichangia nichukue form ya uraisi, sijapenda hata kidogo mambo ya kunipump nije ibuka na noma kilo 10, aibu gunia mimi sipendi.

Llol! Nani anataka kuja kupata kura 5 hayo mambo anayaweza Lipumba tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…