Mambo ya geti kali haya.


Hi kali aisee nimeipenda, imenikumbusha kuna sehemu mabinti walikuwa kwenye fence ile ya chicken wire ule mkubwa sasa jamaa walikuwa wanapitisha kwenye tundu la waya na binti anainama akiwa ndani.
 
ze comedy hahaha na wewe ukaicopy na kupaste hahaha haaaaa
 
haaaa hiyo ndo raha ya get kali meen akipata mimba baba ndo kanipa sii ndo wanataka kunifungia kama kuku
 
inafurahisha baada ya kuhuzunisha
 
Af hapo atakuwa anaenjoy mwnyewe manake vya kuiba vinaongeza passion.... Na vinampa nguvu ya kuendelea na hako kamchezo na maujanja mengine kibao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…