lol... Kwa taarifa yako, nilikuwepo huko Dar mwaka jana mwishoni, na kwa jinsi nnavyowajuwa wasanii hata JF siku ivisit, nnavyowaanika upimbi wenu! mgenipata lazima mngening'oa kucha, huko nikuja kimyakimya, ingawa mnajitapa na freedom uchwara... hivi wewe usawa huu nani anatamani gamba la Bongo? ni wewe na bwana yako jMali tu.