Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,328
facebook wengine kila siku wanabadilisha status mara single,mara in relatioship,mara complicated,mara tena single,
ukitaka like adi uandike kitu cha kijinga,ukisema nimeshinda million 50 upati ata like au comment,lakin ukiandika jana nimekula 0713
utapata comment 250 na like 300,pia facebook ata waliooa nao wanasema wako single,
kuna watu wanapendana facebook na wanaachana bila ata kuonana.
mwanaume mwingine unamtongoza msichana kwa kuona picha yake nzuri kumbe ni mwanaume ameweka picha ya demu na ametumia jina la kike,
wengine wanatapeliwa sana utakuta demu anasema ukitaka kuniona nitumie pesa kwa mpesa kama nauli nije,niko mkoani,wewe kwa kupenda sifa utatuma lak 250,ili uonekane matawi ya juu,ukituma demu anakucjenjia,
yani mambo yako mengi,tusichoshane kwa leo ni hayo tu