2-0 pole sana.Ila Arsenal wanazingua kinoma xna
Mapema mno Tena nlivyoona kikosi nkajua imekula hio2-0 pole sana.
Vipi wamekuchania mkeka?
Kwa mara nyingine tena, pole Kiongozi.Mapema mno Tena nlivyoona kikosi nkajua imekula hio
Roba za Mwananyamala hizo[emoji23][emoji23][emoji23].. Yani kabla hujajua nini kimekupata tayari wana wanakuwa wameshamaliza kazi
Neno Dizonga nilijulia ChideoRoba za Mwananyamala hizo[emoji23][emoji23][emoji23].. Yani kabla hujajua nini kimekupata tayari wana wanakuwa wameshamaliza kazi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] OSHA mecho na hiyoNeno Dizonga nilijulia Chideo
Natamani ningeishi hapo zamani za kaleeeee, zile Zama ambazo Sungura na fisi walikuwa nanuwezo wa kuongea na kupanga mipango yao pamoja u[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] OSHA mecho na hiyoView attachment 1896377