Usinikumbushe, manake nina mihasira na hawa jamaa hadi nimeanza ku-search kwenye google matusi ya Kichina ili niwatumie! King'amuzi chao mie nilishaachaga kukilipia zamani ingawaje nilikuwa naendelea kula Channel za bure bila chenga! Jana nikaona nishawanyonya sana, nikalipia kifurushi cha TZS 36,000/=......ni full upumbavu. Ukiangalia wanatangaza eti wamewasha mtambo wa Makongo Juu, so kama signals zina matatizo elekeza antena Makongo Juu!!! Ninachojiuliza, kuwasha mtambo wa Makongo Juu ndo ku-affect signals ambazo hapo kabla hapakuwa na tatizo!!! I say, Wo kao Startimes, Ri ni ge xian ren ban ban Startimes....I REPEAT, WO KAO STARTIMES