BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,769 Reaction score 288,331 Jul 7, 2013 #21 ​LoL! Hahahahaha 🙂🙂
father-xmas JF-Expert Member Joined Mar 23, 2010 Posts 982 Reaction score 1,127 Jul 7, 2013 #22 ha ha ha..si ameambiwa asafishe kila kitu bana.
cuchi JF-Expert Member Joined Oct 1, 2012 Posts 218 Reaction score 74 Jul 7, 2013 #23 Mmmmmmhhh hata sijui ntafanyaje kwakweli lol!
D Dr Kingu Senior Member Joined Jun 13, 2011 Posts 154 Reaction score 43 Jul 7, 2013 #24 alikuwa mgeni mama mwenyenyumba kamuachia maagizo afanye usafi chumbani. Msichana wangu wa kazi alitoka kijijini, niliweka nanasi na nazi stooni akamuuliza binti yangu hicho ni kitu gani. Siku nilikuta pampas imefuliwa na kuanikwa kambani.
alikuwa mgeni mama mwenyenyumba kamuachia maagizo afanye usafi chumbani. Msichana wangu wa kazi alitoka kijijini, niliweka nanasi na nazi stooni akamuuliza binti yangu hicho ni kitu gani. Siku nilikuta pampas imefuliwa na kuanikwa kambani.