Mambo ya Convid19 bongo

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
96,505
Reaction score
138,384
Kama kawaida mzee Wa misele
Leo nlikuwa na pilika moja Nkaenda makaburi
Ya kino(kanumba) nmefurahi kuona mpaka Ndani hapo wameweka ndoo ya kunawa
Ehh..... Ngoja nsogeee break point nkachonge na mzee maende..... Later

Ova


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye hiyo miti huwa kuna mabaki ya Kondom hadi sio poa yani, watu hawaogopi kufanya matusi sehemu walimolala wapendwa wetu waliotangulia kwenye haki
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…