K Kubingwa JF-Expert Member Joined Apr 23, 2010 Posts 505 Reaction score 69 Nov 6, 2011 #2 Yah! Mkuu,kama rasilimali unazo za kutosha hasa TZ ni sawa na mtu mwenye viungo kamili na akili timamu kisha anaomba msaada,unategemea nini,lazima WAKUPUMULIE ndio upate mshko.Huwezi kula mpaka uliwe......yakhe!
Yah! Mkuu,kama rasilimali unazo za kutosha hasa TZ ni sawa na mtu mwenye viungo kamili na akili timamu kisha anaomba msaada,unategemea nini,lazima WAKUPUMULIE ndio upate mshko.Huwezi kula mpaka uliwe......yakhe!
Dumelambegu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 1,052 Reaction score 260 Nov 7, 2011 #4 Mambo ya pwani hayo yakhe bila kupumuliwa kisogoni hamna msaada, full stop.
kansije Member Joined Sep 16, 2010 Posts 50 Reaction score 10 Nov 7, 2011 #5 prezida sijamsikia akisema lolote sasa sijui ana mpango, au nae anataka watu wapumuliane tu