Mambo ya BENNY HAYO.

Mambo ya BENNY HAYO.

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,209
nyerere_mkapa_and_salim.jpg
 
Benny alikua kamanda sana sema aliharibu alipoaza kuuza nyumba zetu kwa bei ya nyanya
 
kumbe nywele zilitimia!

Kweli aisee enzi hizo Benny qlikua na nywele zote elfu tatu, ila wakati wa Urahisi zikawa buku jero no wonder alikuja fanya madudu
 
Ben alikuwa jembe sana, ingekuwa naweza moja ya maoni yangu kwenye katiba nngeomba rasi akimaliza muda wake na kama raia bado wanampenda basi agombee tena lol!
 
hahahaha au waiti hausi ilikwiba nywele zake!
 
Ben alikuwa jembe sana, ingekuwa naweza moja ya maoni yangu kwenye katiba nngeomba rasi akimaliza muda wake na kama raia bado wanampenda basi agombee tena lol!

Labda baada ya miaka 10 at least, ili awe amepunguza ushawishi kwenye serikali. Na iwe kwa maombi ya at least robo ya wananchi; otherwise ni kuukaribisha udictator.
 
Salim Salim katisha na sideburns
 
Aseeeeeeeeee babayangu kumbe baba wa taifa alikuwa anakata mitungi sijui bia gani hiyo
 
Mkapa anaukumbuka huu mstari?

''Of course there have been some isolated incidents of violence masterminded by the opposition camp,"

Je anafahamu kuwa kina Mwigulu ndio masterminder wa vurugu? au mawazo yake opposition ni walio nje ya ccm
 
Namwona Marehemu Mwangota amekaa seat ya nyuma amevaa safari suit ya kijivu. alikuwa bodyguard wa Mwalimu.
 
Ben alikuwa jembe sana, ingekuwa naweza moja ya maoni yangu kwenye katiba nngeomba rasi akimaliza muda wake na kama raia bado wanampenda basi agombee tena lol!

taratibu aisee, ukisema jembe maana yake linaingiziwa mpini ati, Ben alikua Mpini, majembe yapo siku hizi
 
Ben alikuwa jembe sana, ingekuwa naweza moja ya maoni yangu kwenye katiba nngeomba rasi akimaliza muda wake na kama raia bado wanampenda basi agombee tena lol!

What changed him unadhani? Mi mwenyewe nakumbuka BM aliyeingia Ikulu siye aliyetoka...
 
Aseeeeeeeeee babayangu kumbe baba wa taifa alikuwa anakata mitungi sijui bia gani hiyo

Daaaah usiniambie wakati huo Ukienda UN wanakupa na kichupa cha kukatia stimu? Sipati picha kama Bibi Netanyahu apewe kichupa halafu aje kuelezea kuhusu Iran nucleur program hapo lazima watu wamkubali! Hahaaaa
 
Benny alikua kamanda sana sema aliharibu alipoaza kuuza nyumba zetu kwa bei ya nyanya
isingekuwa masuala ya 'extended family' kumuingiza huyu bwana kwenye mitandao ya ufisadi, angeacha legacy ya miaka 100+
 
Aseeeeeeeeee babayangu kumbe baba wa taifa alikuwa anakata mitungi sijui bia gani hiyo
Nami niliwaza hivyo hivyo baada ya kuona vyupa vikuu mezani. Lakini mkutano gani wa kimataifa unakuwa na laga?
 
Back
Top Bottom