Mchonga hapo kakaa full kujiamini. That was my President
Kwa Taarifa yako utaambiwa hata JK wananchi bado wanampenda, na aendelee kuwa Rais wetuBen alikuwa jembe sana, ingekuwa naweza moja ya maoni yangu kwenye katiba nngeomba rasi akimaliza muda wake na kama raia bado wanampenda basi agombee tena lol!
mwangalie huyo jamaa nyuma yake ana desa kwa bennyKweli alikuwa mchapakazi
Kweli aisee enzi hizo Benny qlikua na nywele zote elfu tatu, ila wakati wa Urahisi zikawa buku jero no wonder alikuja fanya madudu