mambo ya beki 3

Ukiingia ghafla ukaona anavyokusongea nguna kwa staili hiyo unaweza zimia,maana unaweza shindwa la kufanya. Mungu atunusuru na visa vya hawa wasaidizi wetu, kadhalika na sisi waajiri tuwajari hawa beki tatu. Hali ni mbaya.
 
hali italeta umaskin muda si mrefu maana atavunja kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…