Mkuu menyu kama hio hapo juu bei gani aiseeee..Shikamoo Arusha!!
Safi sana...3,500/= mkuu!
Safi sana...
Hio bei kwa Arusha ni reasonable sana, maana ukanda huo samaki najua ni adimu..
Mtu akianzisha serious bussiness ya kuleta samaki huko anaweza kuwa miilionea ndani ya muda mfupi mno
Duh wali samaki 3500/- halafu mnasema maisha Arusha ni gharama?!3,500/= mkuu!
Mkuu achana na story za vijiweni, hao wanaosema Arusha maisha ni ghali hawaijui Arusha. Ukitembelea soko Kuu Arusha pale kwa wauza mboga mida ya jioni saa 12 utakutana na fungu la mchicha kwa tshs 50 na nyongeza unapata, wakati kwa Dar ni 200tshs na nyanya moja Dar kwa sasa ni Tshs200 wakati Arusha hiyo 200 unapata fungu zima. Arusha unagongewa mlango mtu anauza Maziwa wakati Dar last week nimetafuta maziwa weekend nzima kwa wafugaji majirani na sikupata ata nusu lita. Sasa utasemaje Arusha maisha magumu? Otherwise unapenda maisha ya Anasa!!!!!Duh wali samaki 3500/- halafu mnasema maisha Arusha ni gharama?!