Kwanini
Wakikuta eneo lako lina uwepo wa Dhaabu watadai ni Mali ya serikali ila Eneo hilo hilo Wakikuta Bhangi zimejioteaa ni za kwako na utatakiwa kushikiliwa na Polisi kwa maelezo zaidi ?

hili la bangi kujiotea zinaota sana tu kama majani mengine, kuna watu wengine hawajawahi kuuona mmea huo na hawaujui, kumkamata akatoe maelezo ni kumuonea tu
Kupuliza na PAPA wapi na wapi.. papa inaendana na kula,kulamba, kuinyonya, kusugua harage. Maana wali PAPA bila HARAGE, bado PAPA hajanoga, HARAGE ni kama Catalyst..
Kupuliza na PAPA wapi na wapi.. papa inaendana na kula,kulamba, kuinyonya, kusugua harage. Maana wali PAPA bila HARAGE, bado PAPA hajanoga, HARAGE ni kama Catalyst..
Kwanini
Wakikuta eneo lako lina uwepo wa Dhaabu watadai ni Mali ya serikali ila Eneo hilo hilo Wakikuta Bhangi zimejioteaa ni za kwako na utatakiwa kushikiliwa na Polisi kwa maelezo zaidi ?
Ardhi yote ni mali ya serikali we huna ardhi, unaelewa maana ya lease? Unapewa kutumia kwa muda maalum ndiyo inaitwa lease, ikiisha muda wake itabidi uombe tena. Kwa kuwa ni mali ya serikali yaliyo chini ya ardhi vyote ni mali ya serikali ikiwemo maji, mafuta, gesi, madini ya aina yote.