Mambo! wazima nyie?

Naona intelijensia wamefanya kazi kweli, wameichukua ubongo wa wadanganyika na wakazipeleka kwenye mgao wa umeme, naona hapa kila mtu anazungumzia mgao sasa!
 
na jana ndio wameua bunfdi kabisa uwanjani
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…