Mambo wana JF, naombeni ushauri

Mambo wana JF, naombeni ushauri

pa1985

Senior Member
Joined
Feb 18, 2015
Posts
166
Reaction score
43
Ni mgeni humu naombeni ukaribisho,

Mke mtarajiwa wa rafiki yangu kachepuka baada ya kumuuliza kwa siku nyingi hatimaye kakiri wazi na kaomba msamaha asamehewe. Je rafiki yangu afanyeje? Pia mkewe anataka amshirikishe kipato chake halisi.

ushauri tafadhali
 
Mambo yapo poa, pia karibu sana, naomba uandike kiutuuzima hapo ili tukushauri
 
karibu lakini usiingie hadi chumbani,
Kwanza uzi wako haujaeleweka, pili ukieleweka ni vyema kama wanaume mkae chini na muamue
 
Karb.. jarb kufafanua kdg kuhus swap lako Ili ujue unasaidiwaje jf
 
Karibu sana jf mkuu,jisikie kama upo,,,,,,,ila tu,,,,,,,
 
hivi kama siku aliyochepuka ndio kapata ukimwi itakuaje ?
 
Ni mgeni humu naombeni ukaribisho,

Mke mtarajiwa wa rafiki yangu kachepuka baada ya kumuuliza kwa siku nyingi hatimaye kakiri wazi na kaomba msamaha asamehewe. Je rafiki yangu afanyeje? Pia mkewe anataka amshirikishe kipato chake halisi.

ushauri tafadhali

umesemaaaaa!!!!!
 
Trust only your Mother, wengine utalia. Mama yako unamwamini kwasababu kakuzaa na anauchungu na wewe.

Karibu jamvini and be kind unless ban zitakuhusu
 
Jamaa kama ni mtu wa kilmanjaro atamkubalia yaishe koz si anajua jioni atauliza "umeingiza shl ngapi" but kwa wale wa real love mmmmmhhh it nids time to cool down the pain of being insulted..!
 
Asimuambie anamuacha ila mshauri huyo jamaa atafute mwanamke mwingine kisha huyu mke mtarajiwa ajue halafu ataona huyo mke mtarajiwa wake atavyolia ulimwengu mzima utajua,kisha mwenyewe atajiondoa...
 
Ni mgeni humu naombeni ukaribisho,

Mke mtarajiwa wa rafiki yangu kachepuka baada ya kumuuliza kwa siku nyingi hatimaye kakiri wazi na kaomba msamaha asamehewe. Je rafiki yangu afanyeje? Pia mkewe anataka amshirikishe kipato chake halisi.

ushauri tafadhali

Story yako haijakaa sawa mkuu.Imeanza ghafla alaf imeanzia kati.Hebu jaribu kuiandika kwa ufafanuzi mkuu.

By the way,KARIBU

"Analyse"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom