Mambo wafanyayo wanaume yanayokera

Mkuuu najua kuitafuta hela kuliko unavyofikiri.... men u should work very hard la sivyo mtanyanyasika mpaka mfe............... mwanaume mwenye akili he will take my word na kufanyia kazi japo si sheria...

Kama unajua kuitafuta hela mbona unalia hupewi hela?? Tutanyanyasika vipi na nyie ndio wenye shida??....Mwanaume akifika kwa demu anazitoa pesa mwenyewe wala hasubiri kuombwaombwa km ivi,wa kwako hajafika bado.
 
Sawa mr. Matumbo ngoja aje
 
number sita uposawa kabisa
 
siwanyanyasi ila ninyi mmezidi sana kuwa na ujinga huo we unaendekkeza rafiki kuliko familia no space ya wewe na mpenzio

Wapo tena wengi tu!Weekend mnapanga kutoka mnafika sehemu mara marafiki hao wanajiunga mezani kwenu looh!!Nimejuaga kununa sababu ya marafiki was mupenzi na ninawachukiaaaaaa!!!!!!!
 
Wapo tena wengi tu!Weekend mnapanga kutoka mnafika sehemu mara marafiki hao wanajiunga mezani kwenu looh!!Nimejuaga kununa sababu ya marafiki was mupenzi na ninawachukiaaaaaa!!!!!!!

n tatizo sema ndiyo hivyo ukweli unauma
 
Haya wee nimesikia
 
We mkalii…!!! Nimekukubali,umeongea ukweli kabsaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…