NGAYANIMO
Member
- Feb 17, 2026
- 36
- 55
Alhaji Taikuni Ally a.k.a mchizi Mox
Mambo vipi..?
Mambo vip..?
Sharo Tina Tina
Verse.. 1
"Watu wangu wa Bongo mambo Vip.?
Poa..!!
Watu wangu wa Ng'ambo mambo vipi..?
Poa..!!
Haina shobo mchizi wenu nipo ndani ya Bongo /
Nipo Bado naendelea kufanya mambo/
Watu wangu wa A town mambo vipi..?
Poa..!!
Watu wangu wa Dodoma mambo vipi..?
Poa..!!
Hey hey
Nisubirini Tribe A/
Nanyinyi wa Dodoma nitakuwepo Tiger Montel /
Watu wangu wa Mwanza mambo vipi..?
Poa..!!
Watu wa shinyanga mambo vipi..?
Poa..!!
Si mnalala fanyeni biashara majini masangara/
Mtapata mahala kibao mkiuza ulaya /
Watu wangu wa Morogoro mambo vipi..?
Poa..!!
Watu wangu wa Tanga mambo vipi..?
Poa..!!
Si mnakaa mnajiuliza Tanga kunani..?
Fanyeni kweli kama wezenu toka mji kasoro pwani."
Ukwaju wa kitambo
0767 542 202
Watu wangu Ukwaju wa kitambo mambo vip...?
View: https://www.facebook.com/100064569174258/posts/1220455800116714/?app=fbl